Kuna machaguo mawili unaweza kuongeza faili lako la torrc:

BandwidthRate kiwango cha juu cha muda mrefu cha bandwidth ndicho kinachoruhusiwa (baiti kwa sekunde). Kwa mfano, unaweza kuhitaji kuchagua "BandwidthRate 10 MBytes" kwa 10 megabytes kwa sekunde (kwa muunganisho wa haraka) au "BandwidthRate 500 KBytes" kwa 500 kilobytes kwa sekunde (kwa muunganiko sakiti uliokubalika). Mpangilio wa Kiasi kidogo cha BandwidthRate ni 75 kilobytes kwa sekunde.

BandwidthBurst ni mchanganyiko wa alama, herufi, na namba wa baiti zinazotumika kutimiza maombi kwa kipindi cha muda mfupi wa usafirishwaji wa data katika BandwidthRate lakini ikiendelea kuhifadhi kwa wastani wa muda mrefu wa BandwidthRate. Kiwango cha chini lakini Kiwango cha juu cha Kupasuka hutekeleza wastani wa muda mrefu huku kikiruhusu usafirishwaji wa data zaidi wakati wa kilele ikiwa wastani haujafikiwa hivi karibuni. Kwa mfano, Kama utachagua "BandwidthBurst 500 KBytes" na pia ukatumia kwa BandwidthRate yako, hapo huwezi kutumia zaidi ya 500 Kilobytes kwa sekunde, lakini ikiwa unachagua BandwidthBurst kubwa (kama 5 MBytes), Itaruhusu bytes zaidi kupita hadi pale hifadhi sata itakapokuwa wazi.

Ikiwa una muunganiko ulioshindwa kuunganisha (pakia kiasi zaidi ya unachopakua) kama vile sakiti ya modem, unapaswa kupangilia BandwidthRate kwa kiasi pungufu zaidi ya kiwango kidogo cha data (kwa kawaida ambazo zinapakia kiwango cha data). Vinginevyo, unaweza kuacha pakiti nyingi wakati wa matumizi ya kiwango kikubwa cha data - utahitaji kufanya jaribio ambalo thamani yake itafanya muunganiko wako kuwa na utulivu. Halafu pangilia BandwidthBurst kuwa sawa na BandwidthRate.

Sehemu inayotuma data ya Linux kutoka sehemu moja kwenda ingine katika Tor ina chaguo lingine la kuzitoa: wanaweza kuweka kipaumbele kwa usafirishwaji wa data za Tor katika njia nyingine ya usafirishwaji data katika kifaa chao, kwa hiyo usharishwaji wa data zao binafsi haziwezi kuathiriwa na mzigo uliobebwa na Tor. A script to do this inaweza kupatikana katika saraka ya mchangi wa usambazaji wa chanzo cha Tor.

Zaidi ya hayo, Kuna machaguzi ya kutumia nishati ndogo ambapo unaweza kusema Tor pekee huhifadhi kiwango fulani cha kipimo cha data kwa kipindi cha muda (kama vile 100GB kwa mwezi). Hizi huhifadhiwa katika hibernation entry.

Kumbuka kuwa BandwidthRate na BandwidthBurst zipo katika Bytes, na sio Bits.