• Usitumie vifurushi katika hazina za ubuntu. Havijaboreshwa. Kama utazitumia, utakosa ulinzi imara.
 • Tambua toleo lako la Ubuntu kwa kutumia maelekezo yafuatayo:
   ‪$ lsb_release -c
  
 • Kama shina, ongeza mistari ifuatayo kwenda /etc/apt/sources.list. Badili na 'toleo' na toleo uliloliona katika ukurasa uliopita:
   deb https://deb.torproject.org/torproject.org version main
   deb-src https://deb.torproject.org/torproject.org version main
  
 • Ongeza funguo ya gpg kusaini kifurushi kwa kutumia maelezo yafuatayo:
   ‪$ curl https://deb.torproject.org/torproject.org/A3C4F0F979CAA22CDBA8F512EE8CBC9E886DDD89.asc | sudo apt-key add -
  
 • Endesha amri zifuatazo ili kupakua Tor na uangalie saini zake:
   ‪$ sudo apt-get update
   ‪$ sudo apt-get install tor deb.torproject.org-keyring