Kuhitaji kila mtumiaji wa Tor kuwa relay kunaweza kusaidia kuongeza idadi ya mitandao ili kuwashughulikia wateja wetu wote, na Kutumia Tor relay kutasaidia kutokujulikana. Ingawa, watumiaji wengi wa Tor hawawezi kuwa wazuri wa relays — kwa mfano, baadhi ya watumiaji wa Tor huendesha nyuma ya programu walinzi, zilizounganishwa kupitia modem, au vinginevyo hazipo katika nafasi wanapoweza kurejesha usafirisha wa data za relay. Kutoa huduma kwa watumiaji hawa ni sehemu muhimu ya kutokujulikana kwa ufanisi kwa kila mote, kwa kuwa watumiaji wengi wa Tor wapo chini ya hivi vikwazo hivi au sawa na wamejumuisha watumiaji hawa kuongeza ukubwa wa seti ya kutokujulikana.

Kusema hivyo, hatuhitaji kuhamasisha watumiaji wa Tor kutumia relay, kwa hivyo kile tunachohitaji ni kurahisisha hatua za mpangilio na kuboresha relay. Tumepiga hatua kubwa kwa usanidi rahisi katika miaka michache iliyopita: Tor ni nzuri kugundua kiotomatiki inaweza kufikiwa na kiasi gani cha data kinatoa.

Kuna hatua nne tunahitaji kuzishughulikia ingawa hatujaweza kufanya hizi kabla:

  • Kwanza, bado tunahitaji kuwa bora kukadiria kiotomatiki kiwango sahihi cha kiwango chadata cha kiruhusu. Huenda ikawa hivyo kubadilisha usafirishaji wa data za UDP ni jibu rahisi hapa — ambayo ole wako sio jibu rahisi hata kidogo.

  • Jambo la pili, tunahitaji kufanya kazi kwa kubadili uwezo wa vipimo, zote mbili kati ya mtandao (vipi tutasitisha kuomba Tor relays zote ziweze kuunganisaha Tor relay zote) na saraka (vipi tutasitisha kuomba watumiaji wote wa Tor kujua kuhusu Tor relays zote). Mabadiliko kama haya yanaweza kuwa na athari kubwa kwa uwezekano wa kutojulikana kiuhalisia. Angali sehemu ya 5 ya Changamoto katika kurasa za maelezo. Tena, Usafirishaji wa UDP ungesaidia hapa.

  • Jambo la tatu, tunahitaji uelewa mzuri wa hatari wa kuruhusu wadukuzi washambuliaji kutuma data kupitia relay huku pia ukianzisha usafirishaji wa data yako mwenyewe usiojulikana. Three different research karatasi zinaelezea njia za kutambua relays katika circuit kwa kutumia data inayosafirishwa kupitia candidate realys na kuangalia kiwango cha usafirishwaji wa data wakati circuit inafanya kazi. Mashambulizi haya ya kuziba sio ya kutisha katika muktadha wa Tor ili mradi relays hazikuwa za watumiaji pia. Lakini kama tunajaribu kuhimiza watumiaji wengi kuwasha relay na kuitumia (Kama vile bridge relays] au relay za kawaida), hapo tunahitaji kuelewa hii ni tishio bora na ujifunze jinsi kuliondoa.

  • Jambo la nne, tunaweza kuhitaji aina fulani ya mpango wa motisha ili kuhimiza watu kusambaza data za relay kwa wengine, na/au kuwa exit nodes. Hapa kuna maoni yetu ya sasa juu ya motisha ya Tor .

Tafadhali saidia katika hivi vyote!