Angalia portforward.com katika uelekeo wa jinsi gani ya post forwad katika kifaacha chako cha NAT/router.

Ikiwa unatumia relay yako katika mtandao wa ndani, unahitaji kupangilia port forwarding. Forwarding TCP connections ni mfumo tegemezei lakini firewalled-clients FAQ ingizo linatoa baadhi ya mifano jinsi ya kufanya hivi.

Pia, hapa ni mfano wa jinsi gani utapaswa kufanya hivi katika GNU/Linux ikiwa unatumia iptables:

/sbin/iptables -A INPUT -i eth0 -p tcp --destination-port 9001 -j ACCEPT

Unawweza kubadilisha "eth0" ikiwa una kiunganishi tofauti cha nje (moja ambayo imeunganishwa kwenye mtandao). Nafasi unayo moja tu (isipokuwa kitanzi) kwahiyo haipaswi kuwa ngumu sana kuibaini.