Ndio, kuna toleo la Tor Browser inapatikana hasa kwa Android. Hifadhi Tor Browser kwa Android kila unachohitaji unatakiwa utumie Tor katika kifaa chako cha Android.

The Guardian Project inatoa programu Orbot ambayo inaweza kutumika kwenye programu zingine kwenye kifaa chako juu ya mtandao wa Tor, hata ivyo Tor Browser kwa Android inatakiwa ku browse tovuti kwa kutumia Tor.