Tor-rununu

Ingawa Tor Browser kwa Android na Orbot vyote ni vizuri, hutoa huduma tofauti. Tor Browser kwa ajili ya Android ni kama ya Tor Browser kwenye kompyuta, lakini kwenye kifaa chako cha mkononi. Ni kivinjari cha kuacha kimoja kinachotumia mtandao wa Tor na kujaribu kuwa na utambulisho usiojulikana kadri inavyowezekana. Hapo kwa upande mwingine, Orbot ni kivinjari cha mbadala kitakachokusaidia kutuma data kutoka kwenye programu zako nyingine (wateja wa barua pepe, programu za ujumbe wa papo hapo, nk.) kupitia mtandao wa Tor; toleo la Orbot pia lipo ndani ya Tor Browser kwa ajili ya Android, na ndilo litakalokusaidia kuunganisha na mtandao wa Tor. Hiyo toleo, hata hivyo, haitoziwezesha kutuma programu nyingine nje ya Tor Browser kwa Android kupitia hiyo. inategemeana na ni jinsi gani unatumia mtandao wa Tor, kama ni moja au zote kwa pamoja inaweza kuwa chaguo zuri.

Itakuwepo, hivi punde. Kwa wakati huu unaweza kutumia F-Droid kupakua Tor Browser kwa ajili ya Android kwa kuwezesha Guardian Project's Repository.

jifunze jinsi ya kuongeza hazina kwa F-Droid.

Tunashauri proramu ya iOS inayoitwa Onion Browser, ambayo inapatikana bure kwa uwazi, kutumika kusafirisha, na imetengenezwa na mtu ambaye anafanya kazi kwa ukaribu na Tor Project. Hatahivyo, Apple huitaji kivinjari katika iOS kutumia kitu kinaitwa Webkit, ambayo huzuia Onion Browser kuwa na ulinzi wa faragha kama uliopo katika Tor Browser.

Jifunze zaidi kuhusu Onion Kivinjari. Pakua Onion Kivinjari kwenye App Store.

The Guardian Project inadumisha Orbot ( na sehemu zingine za maombi ya kibinafsi) kwenye Android. Taarifa nyingi zinaweza kupatikana kwenyeGuardian Project's website.

Ndio, kuna toleo la Tor Browser inapatikana hasa kwa Android. Hifadhi Tor Browser kwa Android kila unachohitaji unatakiwa utumie Tor katika kifaa chako cha Android.

The Guardian Project inatoa programu Orbot ambayo inaweza kutumika kwenye programu zingine kwenye kifaa chako juu ya mtandao wa Tor, hata ivyo Tor Browser kwa Android inatakiwa ku browse tovuti kwa kutumia Tor.

Inaonekana kwa sasa hakuna njia ya kuendesha Tor Browser kwenye windo ya simu ya zamani ila kwenye kesi ya brandi mpya ya Microsoft/kukuza simu, baadhi ya hatua kwenye Tor Browser for Android inaweza kufuatwa.