Ingawa Tor Browser kwa Android na Orbot vyote ni vizuri, hutoa huduma tofauti. Tor Browser kwa ajili ya Android ni kama ya Tor Browser kwenye kompyuta, lakini kwenye kifaa chako cha mkononi. Ni kivinjari cha kuacha kimoja kinachotumia mtandao wa Tor na kujaribu kuwa na utambulisho usiojulikana kadri inavyowezekana. Hapo kwa upande mwingine, Orbot ni kivinjari cha mbadala kitakachokusaidia kutuma data kutoka kwenye programu zako nyingine (wateja wa barua pepe, programu za ujumbe wa papo hapo, nk.) kupitia mtandao wa Tor; toleo la Orbot pia lipo ndani ya Kivinjari cha Tor kwa ajili ya Android, na ndilo litakalokusaidia kuunganisha na mtandao wa Tor. Hilo toleo, hata hivyo, haitoziwezesha kutuma programu nyingine nje ya Kivinjari chaor kwa Android kupitia hiyo. inategemeana na ni jinsi gani unatumia mtandao wa Tor, kama ni moja au zote kwa pamoja inaweza kuwa chaguo zuri.