Ndio, deb.torproject.org pia huhudumiwa kupitia Onion Service: http://apow7mjfryruh65chtdydfmqfpj5btws7nbocgtaovhvezgccyjazpqd.onion/

Kumbuka Alama # inarejelea kuendesha msimbo kama root. Hii inamaanisha unapaswa kupata akaunti ya mtumiaji iliyo na haki za usimamizi wa mfumo, yaani, mtumiaji wako anapaswa kuwa kwenye kikundi cha sudo.

Kutumia Apt dhidi ya Tor, usafirishwaji wa apt unahitaji kusanikishwa:

   # apt install apt-transport-tor

Halafu unapaswa kuongeza maagizo yafuatayo katika /etc/apt/sources.list or a new file in /etc/apt/sources.list.d/:

   # Kwa toleo imara.
   deb [signed-by=/usr/share/keyrings/tor-archive-keyring.gpg] tor://apow7mjfryruh65chtdydfmqfpj5btws7nbocgtaovhvezgccyjazpqd.onion/torproject.org <DISTRIBUTION> main

   # Kwa toleo lisilo imara.
   deb [signed-by=/usr/share/keyrings/tor-archive-keyring.gpg] tor://apow7mjfryruh65chtdydfmqfpj5btws7nbocgtaovhvezgccyjazpqd.onion/torproject.org tor-nightly-main-<DISTRIBUTION> main

Badili <DISTRIBUTION> kwa mfumo wako wa uendeshaji codename. Run lsb_release -c or cat /etc/debian_version kwa kuangalia toleo la mfumo wa uendeshaji.

Ongeza gpg key itumike kuweka sahihi vifurushi kwa kutumia command ifuatayo katika command prompt yako:

   # wget -qO- https://deb.torproject.org/torproject.org/A3C4F0F979CAA22CDBA8F512EE8CBC9E886DDD89.asc | gpg --dearmor | tee /usr/share/keyrings/tor-archive-keyring.gpg >/dev/null

Sakinisha tor na tor debian keyring

Sasa anzisha upya vyanzo vyako na jaribu kusanikisha tor na tor debian keyring:

   # apt update
   # apt install tor deb.torproject.org-keyring