Ikiwa upatikaji wako wa mtandao haujadhibitiwa, unapaswa kuzingatia kusanikisha na kuboresha Snowflake ili kuwasaidia watumiaji katika udhibiti wa mtandao. When you run Snowflake on your regular browser, you will proxy traffic between censored users and an entry node in the Tor network, and that's all.

Due to censorship of VPN servers in some countries, we kindly ask you to not run a snowflake proxy while connected to a VPN.

Ongeza-katika

Kwanza hakikisha unawezesha WebRTC. Then you can install this extension for Firefox or the extension for Chrome which will let you become a Snowflake proxy. Pia inaweza kukutaarifu kuhusu watu wangapi uliwasaidi katika masaa 24 yaliyopita.

Kurasa ya tovuti

Katika browser ambapo WebRTC imewezeshwa: Kama hutaki kuongeza Snowflake katika browser yako, unaweza kuingia katika https://snowflake.torproject.org/embed na ugeuze kitufe ili kuchagua kuingia kuwa proxy. Huwezi kufunga kurasa kama unataka kubakiza Snowflake proxy.