Kama utaruhusu mawasiliano ya exit, baadhi ya huduma ambazo watu wamejiunganisha kwenye relay yako watajuinganisha tena kukusanya taaria zaidi kuhusu wewe. Kwa mfano, baadhi ya seva za IRC itajiunganisha tena kwenye port ambayo mtumiaji amejiunganisha. (Hii haifanyi kazi kwa ufasaha, kwa sababu Tor haijui taarifa hii, lakini wanajaribu ). Pia watumiaji wanaotoka kwako wanaweza kuwavutia watumiaji wengine kwenye seva ya IRC, tovuti na kadhalika. Nani anataka kujua zaidi kuhusu mwendeshaji anayesambaza.

Sababu nyingine ni kuwa makundi ambayo huskan proxy kwenye mtandao yamejifunza hayo muda mwingine relay za Tor hufichua port za soksi zao duniani. Tunapendekeza ufunge port za soksi zako kwenye mitandao ya ndani tu.

Katika hili, unatakiwa kuendelea kuimarisha ulinzi wako. Tazama makala hii kwenye ulinzi kwa ajili ya Tor relay kwa mapendekezo zaidi.