Tor Browser / Tor Browser

Tor Browser hutumia Tor network kulinda faragha na kutokujulikana kwako. kaziyako ya mtandao, inayohusisha majina na anwani ya tovuti utakayotembelea, itafichwa kwenye internet Service Provider (ISP) na yeyote anaeangalia uunganisho wako kwa undani. Waendeshaji wa tovuti na huduma unaotumia, na yeyote unayemuangalia, wataona mawasiliano yanakuja kutoka mtandao wa Tor badala ya (IP) address yako halisi, na hawawezi kujua wewe ni nani isipokuwa utajitambulisha waziwazi. Kwa nyongeza, Tor Browser imeundwa kuzuia tovuti “fingerprinting” au utambuzi unaohusiana na usanidi wa browser. Moja kwa moja, Tor Browser haihifadhi browsing history. Vidakuzini halali kwa kipindi kimoja tu kipindi (mpaka Tor Browser kitakapofungwa au New Identity itaombwa.

Spelling notes:

Tor Browser. muda mwingineinatajwa kama tbb. na sio TOR Browser.

Translation notes:

Usitafsiri Tor, hata hivyo unaweza kutafsiri "Browser". Mfano kwa Kihispania: Navegador Tor (Badilisha mpangilio kwa sababu ni kawaida zaidi kama hiyo kwa Kihispania.) Baadhi ya lugha kama vile Kiarabu transliterate neno Tor, Ni hivi تور . Huandika Tor kwa herufi nyingine.